Mzee wa Back To School Atema Bungo

Iman Kajula kuondoka simba

Afisa Mtendaji Mkuu wa Simba SC, Imani Kajula ameonba kuondoka ndani ya timu mara baada ya mkataba wake kumalizika.

Mkataba wa CEO huyo unatarajiwa kumalizika mwezi Agosti na mwenyewe ameomba kando na maamuzi hayo aliyafanya toka mwezi.

Taarifa za Kajula kuondoka ndani ya timu zimethibitishwa na uongozi wa klabu hiyo kupitia ukurasa zao rasmi za mitandao ya kijamii.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *