Vinicius Jr akataa ofa ya mabilioni ya pesa ili akacheze Saudia

Mshambuliaji nyota wa Real Madrid, Mbrazil Vinicius Junior, ameripotiwa kukataa ofa ya kitita kikubwa cha pesa kutoka kwa waarabu, ili akacheze Ligi Kuu ya Saudi Arabia. Zimekuwa zikifanyika juhudi kubwa kuhakikisha mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 24 anacheza Saudia akiungana na mreno Christiano Ronaldo, hata hivyo Real Madrid haitaki kumuuza mchezaji huyo ambaye kifungu…

Read More
Alexis Sanchez

ALEXIS SANCHEZ AREJEA INTER

Alexis Sanchez amerejea Udinese siku ya Jumamosi baada ya mshambuliaji huyo wa Chile kunyofolewa na mabingwa wa Serie A Inter Milan. Katika taarifa yake, Udinese inesema kuwa Sanchez, 35, alitia saini mkataba wa miaka miwili na klabu hiyo ambapo ilimfanya achomoze katika soka la Ulaya. Sanchez alisajiliwa kwa mara ya kwanza Udinese mwaka 2006 na…

Read More